Mhe Asenga WA Kilombero Asenga Abubakar anaendelea na ziara yake Kata ya Kibaoni Leo Jumapili May 16/2022 Hapa akiwa Kikwawila kufatilia Changamoto za Kivuko akiwa Na TARULA amewaomba wamalizie Michoro ya Daraja haraka ili aendelee na Mchakato wa kuomba fedha TAMISEMI.
*AIDHA* Mhe Mbunge amechangia Tsh Milioni Mbilizi za Mfuko wa Jimbo Ili zisaidie Kivuki cha Muda wakati tiba ya Kudumu Inatafutwa.
WANANCHI WOTE MNAKARIBISHWA KIBAONI STANDI KUANZIA SAA NANE MCHANA LEO.MKUTANO UTAKUWA MFUPI KUZINGATIA UCHAGUZI WA CCM MKOA.
KARIBUNI
0 Comments