RAMANI YENYE VYUMBA

 

 

RAMANI YENYE VYUMBA VITATU VYOTE VYA KAWAIDA NA INA SEBULE KUBWA INAYOTUMIKA KULIA CHAKULA PIA INA.... 
 
JIKO
STOO
CHOO NA BAFU VYA KUSHEA
BARAZA MBILI
 
-UKUBWA WA RAMANI MITA 13.6 KWA MITA 12.1
-MAHITAJI: TOFALI 2900 BATI PISI 45
 
KUPATA RAMANI YAKE TUWASILIANE WHATSAP 0742295125

Post a Comment

0 Comments